TZS 220,000
In stock
Tokqi M01 3 Axis Smartphone Gimbal Stabilizer ni kifaa maalum kwa ajili ya kurekodi video na kupiga picha kwa smartphone kwa mwonekano smooth na professional. Gimbal hii ina 3-axis stabilization inayosaidia kupunguza mtikisiko wa simu wakati wa kurekodi. Ina built-in fill light kwa kusaidia kupata mwanga mzuri zaidi, pamoja na support ya portrait na landscape shooting. Features: • 3-axis gimbal stabilization • Built-in fill light • 360° horizontal & vertical rotation • 270° tilt adjustment • Smartphone holder inayoweza kurekebishwa • Camera control button • Zoom control • Gimbal control rocker • Trigger button • Portrait & landscape shooting • Compact, lightweight na foldable • Rahisi kubeba na kutumia Inafaa kwa TikTok, YouTube, Instagram Reels, Facebook videos, vlogging, live streaming, travel videos, product photography na product videos. Ni accessory muhimu kwa content creators, influencers, vloggers na wafanyabiashara Tanzania wanaotumia smartphone kutengeneza content. Available at Empire Tronix Tanzania. Tunadeliver Dar es Salaam na tunatuma mikoani kama Dodoma, Arusha, Mwanza na maeneo mengine Tanzania.