TZS 190,000
In stock
PMC Deep Fryer Double (6L + 6L) ni kikaangio cha mafuta cha kibiashara na nyumbani chenye matangi mawili huru yenye uwezo wa lita 6 kila mmoja (jumla ya lita 12). Kifaa hiki kimeundwa mahususi kwa ajili ya kukaanga vyakula mbalimbali kama vile viazi (chips), kuku, samaki, na vitafunio kwa haraka na kwa wingi.