TZS 945,000
In stock
Hisense TV ya nchi 50 (50-inch) ni ukubwa maarufu sana kwa sasa nchini Tanzania kwa ajili ya sebule za kisasa na maofisini. Runinga hii ya inchi 50 inakuja na ubora mkubwa wa 4K Ultra HD, unaotoa picha angavu na yenye maelezo madogo madogo mara nne zaidi ya Full HD. Ina warantii ya mwaka mmoja.