TZS 410,000
In stock
Vitron TV inch 43 ni televisheni ya kisasa yenye muundo wa bila kingo (frameless) na uwezo wa Smart Android yenye bei ya Kitanzania,inatumia umeme kidogo na inaonyesha picha angavu sana zenye kuvutia. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani au ofisini na sehemu zote za biashara. ina waranti wa mwaka mmoja.