TZS 575,000
In stock
Hisense TV ya nchi 43, ni moja kati ya runinga zinazopendwa sana nchini Tanzania kwa sasa kutokana na ukubwa wake wa wastani unaofaa sebuleni au chumbani,au sehemu ya biashara na maofisini pia, ubora wa picha, na bei yake inayobeba mfuko wa mtumiaji wa kawaida. ina waranti ya mwaka mmoja.