TZS 1,061,000
In stock
Hisense TV ya inchi 55 ni televisheni ya kisasa yenye kioo kikubwa cha sentimita 139, inayotoa ubora wa picha wa 4K Ultra HD na mfumo janja wa VIDAA au Android,ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Ina warantii ya mwaka mmoja.