TZS 790,000
In stock
Friji ya Ailyons ARF-236 (yenye milango miwili/double door) ina ujazo wa lita 236, ikiwa na mfumo wa kufriji kwa juu (top freezer) na muundo wa kisasa unaofaa kwa matumizi ya nyumbani au ofisini na ni nzuri sana kwa ajili ya matumizi yake madogo ya umeme. Ina warantii ya mwaka mmoja.