TZS 590,000
In stock
Friji ya Ailyons ARF-129S (Double Door) ni friji ya kisasa, ndogo na yenye milango miwili inayofaa sana kwa matumizi ya nyumbani, vyumbani, maofisini, au kwa familia ndogo. Inasifika kwa uwezo wake wa kubana matumizi ya umeme pamoja na muundo wake unaoacha nafasi kubwa jikoni. ina warantii ya mwaka mmoja.