TZS 215,000
In stock
Ni birika kubwa la kisasa lililoundwa maalum kwa ajili ya kuchemsha na kuhifadhi maji ya moto kwa matumizi makubwa. Inafaa sana kwa matumizi ya familia kubwa, maofisini, kwenye migahawa, mahoteli, au kwenye sherehe na mikutano.