
TZS 165,000
In stock
Rack ya Mboga inayozunguka (Ngazi 5), iliyoundwa kwa ajili ya kuhifadhia Mbogamboga na Matunda. Vipengele muhimu; Muundo wa ngazi nyingi: Huongeza nafasi, hii itakufaa hasa kwa nafasi ndogo ya jiko. Inayo magurudumu kwahiyo ni rahisi kuhamishika. Inafaa kwa kuhifadhi matunda, mboga mboga, na vitu vingine vya jikoni. Imetengenezwa kwa chuma cha kudumu na muundo wa kikapu cha mesh kwa uingizaji hewa.
5 Tier Rotating Vegetable Rack Rack ya Mboga inayozunguka (Ngazi 5), iliyoundwa kwa ajili ya kuhifadhia Mbogamboga na Matunda. Vipengele muhimu; Muundo wa ngazi nyingi: Huongeza nafasi, hii itakufaa hasa kwa nafasi ndogo ya jiko. Inayo magurudumu kwahiyo ni rahisi kuhamishika. Inafaa kwa kuhifadhi matunda, mboga mboga, na vitu vingine vya jikoni. Imetengenezwa kwa chuma cha kudumu na muundo wa kikapu cha mesh kwa uingizaji hewa.