TZS 67,000
In stock
Jiko la gesi la PMC – Modeli PMC120 ni jiko la kisasa la mezani lenye vichomeo viwili (Dual Burner Gas Stove), lililoundwa kwa kioo kigumu cha juu cha Premium Tempered Glass Top ambacho ni imara na rahisi kusafisha. Jiko hili linajulikana kwa teknolojia yake ya kuchanganya burner ya nyavu (infrared) na ya kawaida ili kuboresha kasi ya upishi na kuokoa nishati.