TZS 130,000
In stock
RAF Garment Steamer (1800W) ni mashine ya kisasa ya kusimama (standing/upright garment steamer) inayotumia nguvu ya mvuke wa moto kunyoosha nguo, kuondoa mikunjo, na kuua vijidudu kwa haraka bila kuhitaji pasi au ubao wa kawaida wa kunyooshea. Kifaa hiki ni kizuri sana kwa matumizi ya nyumbani, maduka ya nguo (boutiques), hoteli, na maeneo ya ushonaji kwa sababu ya ufanisi na urahisi wake wa kazi.