TZS 18,000
In stock
Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Novel Book Details Nagona ni riwaya inayothibitisha upevu wafalsafa ya Kezilahabi kuhusu dhana ya maisha. Katika riwaya hii. maisha vanasawiriwa katika mtazamo wa dhihaka na kejeli. Ndiyo maana mwandishi anatega kitendawili kwamba waliobahatika kuishi, walikufa katika vurumai. Walikufa wakieheka Kali wameshikilia mbavu zao kwa viehomi. Baadhi walikanyagwa kanyagwa, wakafa wakieheka. Wengine... walitumbukia katika kisima cha ndoto zao wakafa kwa wingi wa ndoto walizokunywa." Hakika kitabu hiki kinaweza kutazamwa kama riwaya ya 1 zingile' kutokana na kushabihiana kwa dhamira zake zinazochambua suala gumu la kifalsafa lionyehalo maana ya maisha.