TZS 110,000
In stock
LED-D416 416 LED Video Light Panel ni lighting solution nzuri kwa photographers, videographers na content creators wanaohitaji mwanga mkali na unaoweza kudhibitiwa. Ina 416 LED lights, power ya 37W na bi-color temperature ya 3200K–5600K, hivyo unaweza kuchagua warm au cool lighting kulingana na mazingira ya shooting. Brightness inaweza kurekebishwa kutoka 7% hadi 100%. Inafaa kwa YouTube, TikTok, livestreaming, product photography, makeup, portraits, interviews, studio shooting na social media content. Inakuja na rechargeable NP-750 battery, battery charger na adjustable mounting bracket. Design yake ni compact na portable, hivyo ni rahisi kutumia kwenye studio au location. Empire Tronix Tanzania inapatikana kwa delivery Dar es Salaam na tunatuma nationwide kwenda Dodoma, Arusha, Mwanza na mikoa mingine Tanzania.