TZS 13,000
In stock
Kiswahili, Shule za Sekondari, Kidato cha Kwanza ni kitabu mahususi kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kimeandaliwa kwa kufuata muhtasari mpya wa Kiswahili (2023) kwa shule za sekondari, ambao unasisitiza matumizi ya mbinu shirikishi katika kufundisha na kujifunza Kiswahili kwa mtazamo unaozingatia umahiri.