TZS 20,000
In stock
Kitabu hiki cha "Kiswahili 2 (Nadhariya ya Fasihi), Shule za Sekondari, Kidato cha 5 na 6, kimetungwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi na walimu kuongeza ufahamu na ufanisi katika mitihani ya somo la Kiswahili 2 na kuijua lugha kikamilifu Kitabu hiki ni tunu kwa wote wapendao Kiswahili na bila shaka kitaongeza tija ya kitaaluma kwenye shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu. Kutokana na upekee wa kitabu hiki, kila mwanafunzi na mwalimu anapaswa kukisoma. Hakika nyote mtakifurahia na mtajivunia kuwa nacho.