TZS 10,000
In stock
Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Poetry Book Details Fungate ya Uhuru ni diwani ya mashairi yanayofichua madhila wafanyiwayowanyonge na baadhi ya wakubwa, hasa viongozi wanyonyao jasho la wananchi na kujineemesha migongoni mwa wakulima na wafanyakazi. Mashairi haya yanaoneshahasira aliyonayo mwandishi kwani “wakubwa” hawa wanaendelea kujistarehesha huku wakulima na wafanyakazi, ambao ndiyo wajenga nchi, wakiendelea kudidimia katika lindi la dhiki. Hakika, mashairi haya yatamfanya msomaji atafakari uelekeo wa nchi yetu na hapohapo kumchokoza atafute ufumbuzi wa “uyabisi” huu! Kitabu hiki ni tunu kwa wote wapendao ushairi bora na wenyekupenda kutathminimwelekeo wa jamii zetu. Vilevile wanafunzi wa fasihi ya Kiswahili shuleni na vyuoni watanufaika na sanaa ya mwandishi katika ushairi huu wenye vionjo maridhawa.